1

DoGO RaMA King Burudoza La Jiji ,Powerfull,Mapafu Ya Farasi, Hakuna Kesho Vuallaaa!!

Saturday, October 15, 2016

Kuwa wa Kwanza Kuusikiliza Wimbo mpya wa Ivory band Tz unaitwa Mapungufu yangu

https://www.audiomack.com/search?q=MAPUNGUFU+YANGU
Baada ya Ivory Band TZ kutamba na kufanya vizuri sana kwenye mziki wa band, Ivory Band TZ wameamua kuachia ngoma yao nyingine mpya inayokwenda kwa jina la ''MAPUNGUFU YANGU''.

Be the first one kuisikiliza ngoma hii hapa chini :
Click Hapa Kuusiliza Ama Kudownload

Wednesday, April 13, 2016

Dogorama SHows in Mozambique

King Vualla Tiger Kwa Mazoezi

 Tunafanya mazoezi kuhakikisha mashabiki wetu hawakosi vitu vizuri daima
Kama napitia vile nilichokiandika kwaajili yenu ndugu jamaa na marafiki 
nikiwa na ndugu zangu watu wangu wa nguvu hapa

Tuesday, February 17, 2015

The Best Of Dogo Rama 2015

 Big Dady
 King Vualla
 Nikiwa Kazini
 Kazi Kaziiii Hapo
 My Fans Akishow Love Kwa Stage
 King Vuallaaaaaah
 Much Respect Kwa Mafans Wangu Wote Duniani

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...