1
DoGO RaMA King Burudoza La Jiji ,Powerfull,Mapafu Ya Farasi, Hakuna Kesho Vuallaaa!!
Pages
Home
|CONTACT|
| SHOWS |
| VIDEOS |
| EVENT |
| LiFE STYLE |
Friday, June 27, 2014
On My Tour 2014
Nikiwa Kwa Interview Mahali
Ndo Nimefika Hapa Aisee
Ndo Hivyoo Yaaani Maji Muhimu
Dogo Rama Vuallaaaaaaa
Dogo Rama Akiwa Tour Geita!!
Niko na jamaa wa karibu hapo
Ndo kama nilivyowaambia kuhusu jamaa mkarimu
Kati ni H-baba Ndugu Jamaa Angu Msanii Mwenzangu Tukipata Breakfast Hapo Maeneo
Simba Mkali Sijui Anang'ata Lakini Mimi Nimekaa Naye Hapo Kama Unavyoona
On My Deep Feeling Nikidiscuss Cha Kuwapa Mashabiki Wangu Ili Wafurahi Kama Mimi Maana Bila Wao Hakuna Dogo Rama Vuallaa..
Last And But Not On List Kila Siku Nakumbusha Upendo "nawapenda wote marafiki zangu wote vuallaa"
Sunday, June 15, 2014
King Burudoza Ndani Ya Mbeya Akifanya Yake Vuallaa
Akiwa KWa Stage Anafanya Makamuzi Ya Hatari
Ngoma Ya Kwanza Ilianza Vizuri Kama Hivi
Mzuka Ndo Umepanda Ile Mbaya
Show Ilikuwa Pouwa Kama Hivi
Naangalia Mashabiki Zangu Hapo
Namalizia Nyimbo Ya Mwisho
Sunday, June 8, 2014
My private Car !
Kwa safari za hapa na pale Job To Nyumbani mpk sehemu fulani hivi mitaan kwa mafans wangu !!
Saturday, June 7, 2014
TAZAMA HAPA TWANGA PEPETA WAKIFANYA VITU VYAO KWENYE FAINALI ZA MISS TABATA 2014 USIKU HUU
Madansa wa Twanga wakionyesha umahiri wao stejini.
Wananchi wakifuatilia burudani zinazoendelea kutolewa na Twanga Pepeta.
Friday, June 6, 2014
Dogorama Ft.Khadija Kimobitel _Baba na Mama Officially Video Angalia Hapa!!
Dogo Rama Ft.Khadija Kimobitel Wimbo Baba&Mama
Ile Ya Baba Na Mama Iko Tayari Unaweza Kuangalia Hapa Chini...
DoGO RaMA Memories
Nikiona Picha Hii Nakumbuka Mbali Sana...
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)
LinkWithin