1

DoGO RaMA King Burudoza La Jiji ,Powerfull,Mapafu Ya Farasi, Hakuna Kesho Vuallaaa!!

Monday, December 22, 2014

Angalia Dogo Rama Nikifanya Yangu Kwa Stejini Vuallaa


Kujua kazi Ni Tamu Sana naimba na cheza na Rap Vuallaaa
Niko stejini Mango Garden nikifanya yangu

Niko stejini Mango Garden nikifanya yangu nikiburudisha jamii kama kawaida yangu
Nipo na mwanangu wa ukweli Toto ze Bingwa Vuallah
Dogo Rama kama kawaida kukimbiza ni wajibu wangu
 
Naipenda sana kazi yangu

Friday, June 27, 2014

On My Tour 2014

 Nikiwa Kwa Interview Mahali
 Ndo Nimefika Hapa Aisee
 Ndo Hivyoo Yaaani Maji Muhimu
Dogo Rama Vuallaaaaaaa

Dogo Rama Akiwa Tour Geita!!

Niko na jamaa wa karibu hapo
Ndo kama nilivyowaambia kuhusu jamaa mkarimu
Simba Mkali Sijui Anang'ata Lakini Mimi Nimekaa Naye Hapo Kama Unavyoona
On My Deep Feeling Nikidiscuss Cha Kuwapa Mashabiki Wangu Ili Wafurahi Kama Mimi Maana Bila Wao Hakuna Dogo Rama Vuallaa..
Last And But Not On List Kila Siku Nakumbusha Upendo "nawapenda wote marafiki zangu wote vuallaa"

Sunday, June 15, 2014

King Burudoza Ndani Ya Mbeya Akifanya Yake Vuallaa

 Akiwa KWa Stage Anafanya Makamuzi Ya Hatari
 Ngoma Ya Kwanza  Ilianza Vizuri Kama Hivi
 Mzuka Ndo Umepanda Ile Mbaya


 Show Ilikuwa Pouwa Kama Hivi
 Naangalia Mashabiki Zangu Hapo
Namalizia Nyimbo Ya Mwisho

Sunday, June 8, 2014

My private Car !

Kwa safari za hapa na pale Job To Nyumbani mpk sehemu fulani hivi mitaan kwa mafans wangu !!

Saturday, June 7, 2014

TAZAMA HAPA TWANGA PEPETA WAKIFANYA VITU VYAO KWENYE FAINALI ZA MISS TABATA 2014 USIKU HUU








Madansa wa Twanga wakionyesha umahiri wao stejini.





Wananchi wakifuatilia burudani zinazoendelea kutolewa na Twanga Pepeta.

Wednesday, May 14, 2014

Dogo Rama Akiwa Saloon


Naelekea saloon
                                         Nikiwa Saloon

Dogo Rama Events

Sometimes Na Design Picha Zangu Mwenyewe Tuu..
Time For Meditation
Kama Ulikuwa Ujui Dogo Rama Huwa Situmii Kilevi Kikali Zaidi Ya Maji Na Redbull Only...
Kama Kawaida Yangu Kufurahi
Namkubali Sana Huyu Jamaa Wa Kuitwa Salehe Kupaza
Kama Nilivyowaambia Kuhusu Mr. Salehe Kupaza
DogoRaMA & Salehe Kupaza
Pozi Tuu Kiaina!!
Mr. Kujidesign Kama Hivi Bhana!!
Na Drive Mitaani Naelekea Kariakoo Shopping
Shows Ndo Kazi Yangu Aisee...
Peace Na Upendo!!
Nikiwa Mango Garden Kwenye Show Na Wanangu Wa Ukweli..

Dogo rama Akiwa Studio

                                                                Akiwa Anaingiza Vocal
                                      Dogo rama akiwa na Lwiza Mbutu wakiingiza vocal

Twanga Pepeta dancers (MichuziBlog production)

Dunia Daraja- Twanga Pepeta.

TWANGA PEPETA LIVE SHOW AT BILLICANAS- RADIO MBAO TV

Dogo Rama na mashabiki Mwanza..

Dogo rama - chuki za nini

Dogo Rama - Uzuri wangu

Dogo rama baba na mama

Tuesday, May 13, 2014

dogo rama

Nilikuwa Natoka Dodoma Hivi..
Vuallaa ..King Burdoza
Victor Mkambi Akifanya Yake Kwenye Kinanda!
Kama Kawaida Kupozi
Maeneo Flani Hivi Najiachia Tuu
Kitu Cha Kuku Ndo Kina appear
Kwenye Liveshow Leaders R.I.P Mwanangu Wa Ukweli MCD Mungu Amrehemu Huko Alipotangulia Amen!
That Is My Real Love Jackson a.k.a Dogorama Junior
Nakamua Show Ya Hatari Billicanas
Leaders Pande Za Kujiachia..
Nafanya Yangu Kama Hivi Aiseee...
Niko Na Dada Angu Rahma Yusufredy
Makamuzi Ya Nguvu Mango Garden

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...