1

DoGO RaMA King Burudoza La Jiji ,Powerfull,Mapafu Ya Farasi, Hakuna Kesho Vuallaaa!!

Friday, June 27, 2014

Dogo Rama Akiwa Tour Geita!!

Niko na jamaa wa karibu hapo
Ndo kama nilivyowaambia kuhusu jamaa mkarimu
Simba Mkali Sijui Anang'ata Lakini Mimi Nimekaa Naye Hapo Kama Unavyoona
On My Deep Feeling Nikidiscuss Cha Kuwapa Mashabiki Wangu Ili Wafurahi Kama Mimi Maana Bila Wao Hakuna Dogo Rama Vuallaa..
Last And But Not On List Kila Siku Nakumbusha Upendo "nawapenda wote marafiki zangu wote vuallaa"

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...