Kama Kawaida
Yangu Kufurahi Washiriki Wenzangu Wa Nani Mkali
CCM Kilumba Hiyo Na Chalii Wangu Ndugu Yangu Wa Ukweli
Jackson Amejiachia Kama Hivyoo
Ndani Ya Club Maisha Nafanya Yangu Aisee
Nakamua Nyimbo Ya Siri Ya Mapenzi Na hii Ilikuwa Live Shows
Ijumaa Kareem Ibada Muhimu
Kwenye Shows nafanya Makamuzi Na Jamaa Zangu Wa Karibu Khadija Kimobitel & Janet Isilika
Air Port Tayari Kwenda Mwanza

.jpg)






No comments:
Post a Comment